a
Yos 12:9
;
Amu 18:31
;
Amu 18:5
;
Mwa 49:10
Judges 20:18
18
a
Waisraeli wakapanda Betheli na kumuuliza Mungu, “Ni nani miongoni mwetu atakayetangulia mbele yetu ili kupigana na Wabenyamini?”
Bwana
akawajibu, “Yuda ndiye atakayetangulia.”
Copyright information for
SwhKC